Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Novemba 12, 2020


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi Novemba 11, 2020 ametoa hotuba ya kihistoria ambayo inaangazia nyanja zote za kijamii na kiuchumi huku ikitoa taswira mpya ya Zanzibar mpya ijayo ndani ya miaka mitano ijayo, Zaidi fuatilia Gazeti la Serikali la Zanzibarleo na mengine mengi leo Novemba 12,2020.

Post a Comment

0 Comments