LIVE:Wabunge Viti Maalum CHADEMA wakiapishwa bungeni


Wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema leo Jumanne Novemba 24, 2020 wameapishwa na Spika wa Bunge,  Job Ndugai katika viwanja wa Bunge jijini Dodoma.

Ndugai alikuwa na mkutano leo bungeni lakini kabla ya kuanza kwa mkutano huo, walionekana baadhi ya wabunge hao ambao baadhi walikuwa wabunge katika Bunge lililopita.

Baadhi ya walioapishwa ni Halima Mdee, Grace Tendega, Esther Matiko, Jesca Kishoa na Ester Bulaya...

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news