Mama Samia awasili Botswana kumwakilisha Rais mkutanoni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Polisi jijini Gaborone alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama nchini Botswana Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe nchi Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini DRC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama Gaborone Nchini Botswana, Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini DRC unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Novemba 2020 jijini Gaborone nchini Botswana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Post a Comment

0 Comments