Mechi za Simba vs KMC, Namungo VS Biashara zasogezwa mbele


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeiondoa kwenye ratiba michezo miwili, namba 116 ambao ulikuwa ni dhidi ya Simba vs KMC na mchezo namba 119 ulikuwa kati ya Namungo vs Biashara United.Post a Comment

0 Comments