MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho tawala ( Tanzania Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt.Bashiru Ally wakitoka katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM jijini Dodoma Alhamisi Novemba 19, 2020. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma Alhamisi Novemba 19, 2020

Post a Comment

0 Comments