Utabiri wa hali ya hewa Novemba 11, 2020 'MVUA ZINATARAJIWA'

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 11, 2020 unaletwa na mchambuzi Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),mvua zinatarajiwa kuendelea katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments