Utabiri wa hali ya hewa Novemba 15, 2020 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 15, 2020 unawasilishwa na Mchambuzi Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

ANGALIZO

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua kubwa inatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Post a Comment

0 Comments