Utabiri wa hali ya hewa Novemba 18, 2020 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 18, 2020 unaletwa na mchambuzi Thereza Ngassa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). 

 

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), vipindi vya mvua vinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments