Utabiri wa hali ya hewa Novemba 23, 2020 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 23, 2020 unaoletwa na mchambuzi Thereza Ngassa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),inatoa angalizo ya mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia) na Lindi.

Post a Comment

0 Comments