Utabiri wa hali ya hewa Novemba 25, 2020

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku Novemba 25, 2020 unaletwa na mchambuzi Thereza Ngassa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria, Magharibi mwa nchi na maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini.

Post a Comment

0 Comments