Utabiri wa hali ya hewa Novemba 27, 2020


Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 27, 2020 unaletwa na mchambuzi Amina Saleh kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments