Wabunge mashabiki wa Simba SC wakutana Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mweyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dweji wakati wa hafla ya Wabunge mashabiki wa timu Simba iliyofanyika Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mbunge wa Mchinga, Mhe. Salma Kikwete, Watendaji wa Klabu ya Simba na Viongozi wa Benki ya Equity.
Mwenyekiti wa Tawi la Simba Mjengoni, Mhe. Rashid Shangazi akimzungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Mweyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dweji, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mbunge wa Mchinga, Mhe. Salma Kikwete na Watendaji wa Klabu ya Simba wakati wa hafla ya Wabunge mashabiki wa timu Simba iliyofanyika Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja na Mweyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dweji (wa pili kulia), Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Tawi la Simba Mjengoni, Mhe. Rashid Shangazi (wa tatu kulia), Mbunge wa Mchinga, Mhe. Salma Kikwete, (wa kwanza kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Bi. Babra Gonzalez (wa kwanza kulia).
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokea Jezi ya Klabu ya Simba kutoka kwa Mweyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo, Mohammed Dweji wakati wa hafla ya Wabunge mashabiki wa timu Simba iliyofanyika Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Post a Comment

0 Comments