Mwamuzi Msaidizi wa Tanzania, Frank Komba kuchezesha AFCON U20


Orodha ya waamuzi walioteuliwa kuchezesha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, (AFCON U20) baadaye mwaka huu nchini Mauritania akiwemo Mwamuzi Msaidizi wa Tanzania, Frank Komba hii ikiwa ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kutoka CAF.

Post a Comment

0 Comments