Rais Dkt.Mwinyi afanya teuzi 17 za Makatibu, Manaibu Katibu Wakuu na Mkurugenzi


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Januari 23, 2021 kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya vifungu Namba 50 (3)-(4) na 53 vya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu cha  6(2) cha Sheria ya Viapo Namba 1 ya mwaka 1986 amewateua wafuatao kuwa Makatibu Wakuu,Naibu Makatibu Wakuu, Naibu Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar;


Post a Comment

0 Comments