Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania yang'ara kwa ubora Afrika


Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba Moja kwa ubora Afrika Mashariki, namba NANE barani Afrika na namba 71 duniani kwa mwaka 2020. 

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS).

Post a Comment

0 Comments