Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today February 1st, 2021

  UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:TAREHE: 01/02/2021.

Mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe, Kagera, Geita, Kigoma na Katavi: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Tabora, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, ngurumo za radi kwa maeneo machache na vipindi vya jua
................
Mikoa ya Ruvuma na Iringa: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Kusini mwa mkoa wa Morogoro, Lindi na Mtwara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara Arusha, Dodoma, Singida, Tanga, Kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), pamoja na (Visiwa vya Unguja na Pemba): Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
....................
VIWANGO VYA JOTO VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 12°C
D'SALAAM 33°C 25°C
DODOMA 30°C 19°C
KIGOMA 30°C 20°C
MBEYA 25°C 15°C
IRINGA 27°C 17°C
NJOMBE 20°C 13°C
MWANZA 30°C 19°C
TABORA 29°C 17°C
TANGA 30°C 25°C
ZANZIBAR 33°C 23°C
................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Matarajio kwa siku ya Jumatano tarehe 03/02/2021: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here