Kongamano kubwa la Viongozi wa Dini Aprili 18, 2021 Chimwaga jijini Dodoma,MARAIS wote watakuwepoRais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ataungana na Watanzania kwenye kongamano Maalum la Viongozi wa dini la kumuomba Mungu na kumshukuru kwa maisha ya Dkt. John Pombe Magufuli na kuvuka salama katika kipindi cha mpito. Ni siku ya Jumapili Aprili 18, 2021 kuanzia Saa 8 Mchana katika Ukumbi wa Chimwaga, Dodoma. Usikose kufuatilia kongamano hili litakalorushwa kwenye mitandao ya Kijamii, Redio na TV.

Post a Comment

0 Comments