KUREJEA KWA HUDUMA YA LUKU KUPITIA MITANDAO YA SIMU

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa, huduma ya manunuzi ya LUKU sasa inapatikana kupitia mitandao ya Simu na Benki.

Ofisi zote za TANESCO Wilaya na Mikoa zitaendelea kutoa hudumu kwa saa 24, wakati wataalamu wetu wakiendelea kuangalia ufanisi wa mifumo ya manunuzi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

Kituo cha miito ya simu makao makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100.


Post a Comment

0 Comments