STAMICO YASHIRIKI KIKAMILIFU UZINDUZI WA KITABU CHA MWONGOZO UWEKEZAJI MKOA WA MARA

Leo tarehe 28 Mei 2021 Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeshiriki kikamilifu katika shughuli ya uzinduzi wa Kitabu cha Mwongozo wa uwekezaji Mkoa wa Mara. Shughuli hii imefanyika leo na Mgeni rasmi katika tukio hili alikuwa Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa
Pamoja na ushiriki wa uziduzi huu wa kitabu cha Mwongozo wa uwekezaji, STAMICO pamoja na Tume ya Madini na wadau kutoka sekta binafsi walishiriki kwa pamoja kuwaelimisha wananchi wa Mkoa wa Mara shughuli mbali mbali kupitia maonesho yaliyofanyika kwa jumla ya siku tatu mfululizo viwanja vya shule ya Msingi ya Mukendo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news