Watumishi Ofisi ya Bunge wampokea Katibu wa Bunge


Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akipokelewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Rasilimali Watu Bunge, Ndg. Triphonia Mng’ong’o alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.
Watumishi Ofisi ya Bunge wampokea kwa bashasha Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi alipowasili katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (Mwenye maua) katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg, Nenelwa Mwihambi (katikati mbele) katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wanne kushoto mbele ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Post a Comment

0 Comments