Nyota wa Timu ya Taifa ya Argentina, PSG ya Ufaransa, Mauro Icardi na mkewe waendelea kula bata Serengeti

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Nyota wa Timu ya Taifa ya Argentina na Klabu ya Soka ya PSG ya Ufaransa, Mauro Icardi ametembelea katika Hifadhi ya Serengeti nchini akiwa ameambatana na mkewe.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete katika taarifa yake amesema kuwa nyota huyo amefika nchini na mkewe ambaye pia ni wakala wake.

" Icardi na mkewe wako nchini kwa mapumziko katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti," amesema Shelutete leo Juni 4, 2021.

Post a Comment

0 Comments