SPIKA JOB NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA KAZOMBO


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Malawi ukiongozwa na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawa, Madalitso Kazombo (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021, Wapili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news