HUYU NDIYE MWANAHABARI VERONICA MREMA

 🇹🇿 Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ....

 Naitwa Veronica Mrema .

Mimi ni miongoni mwa vijana walioteuliwa kuwania tuzo za vijana  na youthawards_tanzania  zinazolenga  kutambua mchango wa vijana katika kuchochea .

 Rafiki , kuniwezesha kutwaa tuzo hii, ninaomba kura yako.

 Nipige kura kupitia  link... http://ayt.or.tz/awards/technology-and-digital-sector/ nenda moja kwa moja katika category ya Media Personality of the Year mpe kura yako kwa Veronica Mrema .

USHINDI WANGU NI USHINDI WETU.


Post a Comment

0 Comments