Rais Samia aongoza Watanzania kuaga mwili wa marehemu William Tate Ole NashaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu na Uwekezaji Hayati William Tate Ole Nasha wakati wa kuaga mwili wa Naibu Waziri huyo katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu na Uwekezaji Hayati William Tate Ole Nasha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo Sept 30,2021 (PICHA NA IKULU).
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha baada ya misa ya kuombea mwili huo tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiweka shada ya maua kwenye jeneza la mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango na Mke wake, Bi. Jenisia Mpango wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021.
Wageni mbalimbali wakishiriki misa ya kuombea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021.
Waheshimiwa Wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa misa ya aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa misa ya aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021.

Post a Comment

0 Comments