Simba SC yaomboleza kifo cha Akilimali Yahya

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Akilimali Yahya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni mkoani Kigoma.

Winga huyo aliyecheza Simba SC kuanzia mwaka 2003 hadi 2008.Baada ya kucheza klabu hiyo Akilimali aliyezaliwa Desemba 5, mwaka 1986 alikwenda Mtibwa Sugar ambako alicheza hadi 2010 alipohamia JKT Tanzania alikocheza kwa msimu mmoja akahamia Coastal Union ya Tanga kabla ya kustaafu soka ya ushindani.Post a Comment

0 Comments