Rais Samia awasili Zanzibar


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia ngoma ya Bom inayochwezwa na Watoto wa chekechea mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 18 Novemba, 2021. (Picha zote na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar leo tarehe 18 Novemba, 2021.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news