Waziri Mkuu azindua kinu Namba 2 cha Saruji Kampuni ya Twiga


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia watumishi wa Kampuni ya Twiga, wakati alipozindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuzindua rasmi kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa juu wa kiwanda cha saruji cha Twiga, ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni hiyo, eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments