🔴 LIVE:Watch TANZANIA inakuunganisha katika mjadala wa Kitaifa juu ya dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu

KWA udhamini wa Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) Watch Tanzania inakuunganisha moja kwa moja katika mkutano huu unaofanyika leo Januari 10, 2022 kupitia mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. 

Mada iliyopo mezani ni kuhusu Mjadala wa Kitaifa juu ya dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu 

Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa; shorturl.at/cwIUY Au kupitia;
>Meeting ID: 89408495434
>Passcode: 642996 

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Karibu tujadili dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu.

Post a Comment

0 Comments