Mheshimiwa Othman aungana na viongozi wa chama Mlimani City

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha ACT- Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, leo Januari 27 aliwasili katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam, kuungana na viongozi wenzake katika kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, kinachofanya maandalizi ya kuelekea mkutano mkuu maalum unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi Januari 29, 2022.


Picha zote na Kitengo cha Habari-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news