Rais Dkt.Mwinyi ateua viongozi mbalimbali leo Januari 10,2022

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

Hayo yameelezwa leo Januari 10,2022 kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A.Said. 

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi ameteua wafuatao;

Post a Comment

0 Comments