Timu ya Taifa ya Wanawake U20 Tanzanite itakayoingia kambini Januari 8,2022 kwa mchezo wa mzunguko wa nne Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Ethiopia

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake U20 Tanzanite,Bakari Shime ametangaza kikosi cha wachezaji 30 watakaoingia kambini Januari 8,2022 kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa nne Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Ethiopia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 4,2022 inaonyesha kuwa,chaguo la mwalimu limegusa katika maeneo mbalimbali.

Wachezaji hao 30 wamechaguliwa kutoka timu mbalimbali huku matarajio yakiwa ni kufanya vizuri kwa ajili ya kusonga mbele.

Post a Comment

0 Comments