BENKI YA I&M MAKAO MAKUU NA MATAWI WALIVYOSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Benki ya I&M Tanzania makao makuu Maktaba Square Dar es salaam na baadhi ya matawi yake ya Dar es salaam na mikoani, Arusha, Mwanza na Moshi, walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8 mwaka huu wa 2022.

Post a Comment

0 Comments