Kamati ya PIC yakagua mradi ujenzi wa lango la kuingilia Msitu wa Amani

Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imekagua Mradi wa ujenzi wa lango la kuingilia, ujenzi wa hosteli na ujenzi wa barabara katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asili wa Amani unaotekeleza na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Post a Comment

0 Comments