🔴LIVE:Mjadala wa Kitaifa ukiangazia Sekta ya Sanaa na Michezo mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu unaofanyika leo Jumamosi ya Machi 19, 2022 kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi 12:30 jioni.
Mkutano huu unajadili kuhusu maendeleo katika Sekta ya Sanaa na Michezo mbalimbali katika Mwaka Mmoja wa Rais Samia madarakani

Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/34HGZhk

Au kupitia

Meeting ID: 89308078223

Passcode: 786246

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja maendeleo katika Sekta ya Sanaa na Michezo mbalimbali kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani. Usikose.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Kampuni ya Simu za Mikononi ya Airtel Tanzania.Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news