RC Makongoro Nyerere, DC Serera wafika ulipo mradi wa kihistoria wa maji

Picha mbalimbali zikimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere akiwa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa pamoja na ya Wilaya ya Simanjiro chini ya Mkuu wa wilaya hiyo, Dkt.Suleiman Serera walipokwenda kukagua mradi mkubwa wa Maji Ruvu Orkesumet wa zaidi ya shilingi Bilioni 38 unaotarajiwa kuwekewa jiwe la msingi kesho na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango. (Picha na Mary Margwe).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news