Waziri Dkt.Kijaji ateta na uongozi wa Everwell Cables Tanzania


Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt.Ashatu Kijaji (Mb) amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Everwell Cables Tanzania, Bw. Jiaopeng Lu aliyeambatana na Msaidizi wake Bw. Zilai Chen kuhusu utanuzi wa kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha nondo tani 300,000 kwa mwaka na kiwanda cha kuzalisha nishati ya umeme megawati 2000 kwa kutumia gesi asilia Mkuranga mkoani Pwani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 3,2022 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news