Waziri Dkt.Kijaji ateta na uongozi wa Total Energies Tanzania








Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji (Mb) amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Total Energies Tanzania, Bw. Jean Francois Schoepp aliyeambatana na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano, Bi Getrude Mpangile pamoja na Mkurugenzi wa Biashara na Vilainishi vya Injini, Amr Khamis kuhusu uwekezaji katika utengenezaji wa vilainishi vya injini nchini na nishati ya upepo, jua na gesi asilia. Mazungumzo hayo yamefanyika Machi 3, 2022 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news