Waziri Dkt.Kijaji ateta na uongozi wa Kampuni ya Sigara Tanzania








Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji (Mb) amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania, Bw.Michael Bachan aliyeambatana na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano, Bi.Patricia Mhondo kuhusu maendeleo ya mnyororo wa thamani wa uzalishaji wa tumbaku kuanzia shambani hadi kiwandani hadi kumfikia mlaji wa mwisho (Seed to Stick). Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 3, 2022 katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news