BREAKING NEWS:Waziri Bashungwa amsimamisha kazi DED wa Mvomero

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Bw.Hassan Njama ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kulingana na taarifa hii hapa chini;


Post a Comment

0 Comments