Halmashauri zote zatakiwa kuzingatia taratibu za kiutumishi

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi amezitaka halmashauri zote nchini kuzingatia taratibu za masuala ya kiutumishi ili kuwa na Utumishi wa Umma wenye tija kwa umma na maendeleo ya taifa.

Post a Comment

0 Comments