Linus Jeremiah Lubusi anatafutwa na ndugu zake waishio Songea Mjini, zawadi nono itatolewa kwa atakayemuona


Bw.Linus Jeremiah Lubusi (pichani) anatafutwa na ndugu zake waishio Songea mjini mkoani Ruvuma, atakayemuona atoe taarifa Jeshi la Polisi Songea Mjini au kwa familia.

Post a Comment

0 Comments