Rais Dkt.Mwinyi afanya uteuzi leo Aprili 5,2022

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt.Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathimini katika Tume ta Mipango Zanzibar. 
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Aprili 5, 2022 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A.Said.

Kabla ya uteuzi huo, Dkt.Zuhura alikuwa Mkufunzi katika Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU) na uteuzi wake umeanza leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news