Rais Dkt.Mwinyi amteua Mkurugenzi Mkuu ZFCC

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua,Bw. Mohamed Sijamini Mohamd kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Halali wa Biashara (ZFCC) katika Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A.Said imeeleza kuwa, uteuzi huo umeaza Aprili 21, 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

Kabla ya uteuzi huo, Bw.Mohamed Sijamini Mohamed alikwa ni Afisa Mwadamizi katika Fani ya Sheria.

Post a Comment

0 Comments