Rais Samia afuturisha wananchi, viongozi Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akifutari pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Wazee na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Futari aliyoiyandaa Aprili 10, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments