Afisa Utumishi ndiye mlezi wa watumishi wa umma-Waziri Mhagama

NA DIRAMAKINI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema, maafisa utumishi nchini wanapaswa kutambua kuwa, wana umuhimu mkubwa kwa watumishi wa umma katika maeneo yao.
"Katika utumishi wewe ndiye baba na mama katika malezi ya watumishi, hivi kwa nini kwa mwezi usitenge muda ambao hasa utatembelea maeneo ambayo unaona yana shida sana katika sekta yako, kwa mfano katika halmashauri;

Post a Comment

0 Comments