'Baada ya surprise ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3, mambo yapo namna hii'

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3, ambapo shilingi trilioni 1.59 itatumika kwa ongezeko hilo.

Post a Comment

0 Comments