Nilivyomshinda aliyetaka kunitapeli vitu vyangu

NA MWANDISHI WETU

KATIKA utafutaji wa maisha wa sisi vijana kuna changamoto nyingi sana tunapitia, unaweza kumwamini mtu kwa asilimia kubwa, lakini akaja kukuangusha kupita maelezo.

Jina langu ni Sule, nilikutana na rafiki yangu tuliyepotezana miaka mingi, baada ya kugundua tunaishi mtaa mmoja, tuliamua tuanze kuishi pamoja ili tuweze kuchangia kodi na fedha inayobaki tufanyie maendeleo.

Sikujua kama angekuwa mbaya kwangu, mwanzoni tuliishi vizuri tu huku tukishirikiana kwa kila kitu ila kadri siku zilivokuwa zinaenda kuna baadhi ya mambo niliona kwake hayakunipendeza sana.

Ghafla alianza kuleta wanawake ndani ila nikawa nanyamaza tu, baadaye akazoea inapita mpaka siku tatu yupo ndani na hao wanawake zake, wakawa wakiondoka wanaacha ghetto chafu, mimi ndiye ninakuja baadaye kusafisha mara vyombo, mara chooni, ilikuwa vurugu tupu na ukizingatia mimi ni mtu mpole sana ila yalivyonifika shingoni.

Basi ikafika hatua ya kila mtu ashike njia yake na tugawane vitu vilivyokuwa mule ndani, sitaki kuamini, huyo rafiki yangu alisema vitu vyote ni vyake na akatoa risiti za uongo ambazo alidai ndizo alizopokea baada ya kununua vitu hivyo.
Picha na AnyTv.

Niliishiwa nguvu na ukizingatia kuna vingi nilivyovinunua mimi, majirani wakanishauri nikatae kama ni kupigana tupigane, binafsi nilishindwa kwa sababu mimi ni mpole na napenda amani, nikawaita rafiki zetu pale wakatusuluhisha, lakini bado alisisitiza vitu ni vyake.

Kuna jirani mmoja anaitwa Mzee Chuli alisikia ugomvi ule, aliniita akaniuliza kama kweli kuna vyombo vyangu pale, nilimwambia ni kweli kabisa. Basi akaniambia nisiwe na wasiwasi maana haki yangu nitaipata tu, alichukua simu yake na kumpigia Dr. Kiwanga na kunipa niongee naye na kumueleza shida yangu.

Dr. Kiwanga aliniambia ndani ya siku tatu vitu vyangu vyote vitarudi, nilisubiri kwa shauku kubwa, hauwezi kuamini kesho yake huyo rafiki yangu alinipigia simu na kuniambia niende kuchukua vitu vyangu maana usiku wa jana yake hakulala kabisa. Kila akisinzia kidogo anaota vitu vyangu vinampiga. Asante Dr Kiwanga.

Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukuwezesha kushinda bahati nasibu, kukuondolea migogoro ya mashamba, migogoro ya mapenzi, kuikinga biashara yako na kukupa mvuto wa kimapenzi.

Pia Dr. Kiwanga anatibu magonjwa kama presha, kifafa, kisonono, kaswendwe, upungufu wa nguvu za kiume na mengineo, watembelee leo upate suluhu kwa matatizo yanayo kutatiza. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com, pia waweza kumpigia simu kwa namba +254 769404965 au tuma barua pepe kupitia kiwangadoctors@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news