TRA yamdaka kishoka maeneo ya Kariakoo na Jangwani jijini Dar es Salaam


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemkamata Bw.Emmanuel Malima Tomari ambaye anatuhumiwa kujitambulisha kuwa ni Ofisa wa mamlaka hiyo katika mitaa ya Kariakoo na Jangwani jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments