Waziri Dkt.Nchemba:Huu ni upotoshaji, Watanzania puuzeni,tunaendelea na juhudi kubwa

NA DIRAMAKINI

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amewataka Watanzania kuendelea kupuuza taarifa za upotoshaji zinazotolewa na watu ambao hawana nia njema na Serikali kupitia mitandao ya kijamii.

Mheshimiwa Waziri ameyasema hayo kupitia taarifa fupi aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii leo Mei 7,2022.

"Upotoshaji, nawaomba watanzania mpuuze upotoshaji huu.
"Tunaendelea kuchukua hatua za kiuchumi kupambana na upandaji wa bei kwenye vitu mbalimbali nchini,"ameeleza Mheshimiwa Waziri Dkt.Nchemba.

Post a Comment

0 Comments