Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi aongoza mapokezi ya tani 22 za parachichi kutoka Tanzania


Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe. Irene Kasyanju amepokea tani 22 za parachichi kutoka Tanzania. Parachichi hizo zimeingizwa nchini humo na kampuni ya kitanzania ya Avocado Tanzania.

Post a Comment

1 Comments